Klabu kubwa ya Simba yasajili kinda wa miaka 26 tuu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Ni yule kinara wa magoli Ligi ya zambia

NB. Nisije nikawa nina miaka 12 harafu hamniambii sio vizuri
 
Siku hizi ukiwa na maisha mazuri na ukawa unakula ma-junk foods sio ajabu mtu kuonekana mzee.
 
Umri wa mtu unapimwa kwa miaka sio muonekano wa mwili na maumbile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…