Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

TIMU ZA KARIAKOO;
MOJA inakwenda Kula ubwabwa Malawi (Ushamba)
YA PILI inakwenda kupiga picha na Ertugul Bey (Ustaarabu).
 
Anayekwenda uturuki kwaajili ya pre season amuonee wivu anayekwenda kijijini malawi [emoji23][emoji23]
Nasikia wanaenda kuomgezewa makalio🤣🤣
 
Tunaojitambua na tusiopenda Mialiko ya kishamba na isiyo na Utaratibu hao Pre Season Ulaya ya Mbali Uturuki huko.

Kudadadeki.
kila kona ya afrika inatamani burudani za yanga,nasi hatuna baya kuwafurahisha waafrika wenzetu kwa kile mungu alichotubariki mguuni,nyie nendeni Uturuki mkafanye surgery ya kuongeza makalio tuje kuyashika shika NBC2023-2024
 
Kwanini waalikwe Yangu na sio zingine
Treble babaaa
Unyama ni mwingiii
[emoji966][emoji966][emoji817][emoji817][emoji91]
#Katuwakilisheni wanetuuu
 
Kuna ushamba mwingi, YANGA ...
Ukiangalia hata press yao juu ya kualikwa Malawi, kwa ni jambo kuuuuuubwa...!
Nimewasikia ma bosi wao, eti wangeweza kualikwa hata Arsenal, lakini baada ya vikao vya viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais wao, wakaona raha wataipata kupitia wao!
 
Hiyo timu inaanza kulipa fadhila ya kupanda ndege za serikali yaani hata kocha mkuu hajafika inaanza kuzungushwa, ilijaribu kuzima mjadala wa bandari lakini imeshindikana
 
Ishu ni kwamba mualiko ulitolewa kwa tff,ndo wakaamua wawapeleke yanga coz wapo wapo tu mjini hapa,simba si anaenda kwa kina mzee fikri
 
Kuna ushamba mwingi, YANGA ...
Ukiangalia hata press yao juu ya kualikwa Malawi, kwa ni jambo kuuuuuubwa...!
Tangu lini kualikwa na Rais likawa jambo Dogo?

Hawa wazamiaji walifuata nini ikulu wakati Yanga ndio mwalikwa?
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-192423.jpg
    Screenshot_20230605-192423.jpg
    23.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom