kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga kuhifadhia wachezaji na makocha ili wanunuliwe wakiwa tayari mwigulu nchemba ameshawalipia vibali vya kazi wengi wanao bisha hii timu ya singida kwamba sio tawi la yanga rudieni maneno ya Hussein massanza,Sowah wote hao wanaipongeza yanga hersi na Gsm... wakongo wangapi wameshakaa nchini bila kupewa uraia leo hii miezi minne tu imetosha kuwapa watu uraia....
Timu mbili za mchongo leo sowah atapiga mashuti jukwaani!
Timu mbili za mchongo leo sowah atapiga mashuti jukwaani!