Klabu namba 7 kwa ubora Afrika, haya mambo ya Awesu tusiyaendekeze

Klabu namba 7 kwa ubora Afrika, haya mambo ya Awesu tusiyaendekeze

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25

1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
2. Esperance (Tunisia) – 61 points
3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
5. Zamalek (Egypt) – 48 points
6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
7. Simba (Tanzania) – 39 points
8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points

Soma Pia: KMC wameshinda kesi dhidi ya Awesu aliyetambulishwa na Simba SC wiki chache zilizopita

Wakati huo huo Jumaa aweso ni mchezaji halali wa KMC , tujitahidi kuwa makini kwenye usajili.

IMG-20240814-WA0007.jpg
 
Tff Ina mambo ya ajabu Sana, Kamati imejiridhisha kua Simba sio tu ime mrubuni Bali imemtangaza mchezaji wa timu nyingine alafu kamati inakuja na mapendekezo ya timu husika zika ongee na kutoa onyo kwa Simba.

Ilitakiwa Simba iadhibiwe na kuwa fundisho kwakua huu mchezo wa kurubini wachezaji umeanza kwa Kasi.

Sheria za soka Duniani zikobwazi endapo timu itabainika ilifanya uhuni katika usajiri( urubuni) kwa mchezaji.
Kama Aya ndio maamuzi ya Tff sishangazwi na maamuzi ya marefa kama Heri Sasi.
Uta mchukulia hatua vip refa Heri sasi ikiwa Tff yenyewe Ina puyanga kwa kiwango iki.

Yaani mambo yaliyokua yanafanyika enzi za FAT miaka ya 1990 yamerudi Tena miaka hii ya 2024.
Tff Wana upuuzi mwingi.
 
Back
Top Bottom