Uhakika wa manchester united kufika champion league next season uko wapi?
Manchester united ilimaliza league ikiwa vibaya, bado haijafanya usajili wa kueleweka then unatupa assurance ya Ku qualify champion league,, Punguza mapemzi mkuu na u base kwenye realities