Klabu tajiri Manchester United haimo kwenye Elite league, si kweli

Klabu tajiri Manchester United haimo kwenye Elite league, si kweli

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
724
Reaction score
625
Je ni kweli mchezaji mkubwa atakataa kusaijliwa?

Timu inashiriki europa, mchezaji mjinga atakataa kujiunga, ambapo msimu ujao timu inauhakika kuingia championi
 
Uhakika wa manchester united kufika champion league next season uko wapi?
Manchester united ilimaliza league ikiwa vibaya, bado haijafanya usajili wa kueleweka then unatupa assurance ya Ku qualify champion league,, Punguza mapemzi mkuu na u base kwenye realities
 
Je ni kweli mchezaji mkubwa atakataa kusaijliwa?

Timu inashiriki europa, mchezaji mjinga atakataa kujiunga, ambapo msimu ujao timu inauhakika kuingia championi
Manchester united haina tofauti na genge la watekaji la GREEN GUARD
 
Back
Top Bottom