mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
ushawahi sikia kuna timu inayoshiriki ligi kutoka mkoa wa Kilimanjaro? hapo watakuwa wamepotea, mashabiki wanatokana na mafanikio kama ilivyokuwa mbeya city.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiitwa sokwe na wazungu mnaanza kulia kuliaNa mijezi myeusi utafikiri wanga, hata haivutii unapataje mshabiki, kwa mfano mimi niliamua tu kuishabikia lipuli kwasababu nilipenda jezi zao.
Mara wenyewe Timu yao imekuwa pombe ya ngomanikweli dar pagumu kwenu... bora hata mpeleke Mara
lakini akumbuke hata huko aendako kuna mamilion ya mashabiki wa simba na yanga sijui itakuaje ..mm naona hapa mchawi ni mdhamini wa ligi sababu toka mda timu ipo dar na hatujawahigi kusikia hizi mambo