Klabu ya African Lyon kuhamia mkoa mwingine, kufuatia kukosa mashabiki wa kuiunga mkono katika jiji la Dar

ushawahi sikia kuna timu inayoshiriki ligi kutoka mkoa wa Kilimanjaro? hapo watakuwa wamepotea, mashabiki wanatokana na mafanikio kama ilivyokuwa mbeya city.
 
Lyon ni Simba?huyo jamaa ni pimbi tu
 
Na mijezi myeusi utafikiri wanga, hata haivutii unapataje mshabiki, kwa mfano mimi niliamua tu kuishabikia lipuli kwasababu nilipenda jezi zao.
 
Na mijezi myeusi utafikiri wanga, hata haivutii unapataje mshabiki, kwa mfano mimi niliamua tu kuishabikia lipuli kwasababu nilipenda jezi zao.
Mkiitwa sokwe na wazungu mnaanza kulia kulia
 
lakini akumbuke hata huko aendako kuna mamilion ya mashabiki wa simba na yanga sijui itakuaje ..mm naona hapa mchawi ni mdhamini wa ligi sababu toka mda timu ipo dar na hatujawahigi kusikia hizi mambo
 
Hii timu ilikua inadhaminiwa na Xbox km sikosei ya marekani na pia ina mahusiano na Seattle Sounders ya US

lakini akumbuke hata huko aendako kuna mamilion ya mashabiki wa simba na yanga sijui itakuaje ..mm naona hapa mchawi ni mdhamini wa ligi sababu toka mda timu ipo dar na hatujawahigi kusikia hizi mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…