political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
BREAKING: Klabu ya Al Wahda inayoshiriki Ligi Kuu ya United Arab Emirates (UAE) [emoji1256] imemtangaza Pitso Mosimane (58) kuwa Kocha Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!
Dar es salaam Young Africa ndo habari ya mjini kwa sasa huwezi kuta Sawadogo anauliziwa hata Mbeya city.MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!
[emoji3578] Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !
"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"
"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi
"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."
"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"
"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"
"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"
[emoji2398] Thadei Ole Mushi
[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi Yanga tumemkosa padogo sana [emoji1787]
Umecomment pasi na kufanya reasoning ya comment yangu, by the way sijawahi kuwa kwenye utumwa wa kubishana na arguments zisizo na maana kuhusu simba na yangaMDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!
[emoji3578] Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !
"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"
"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi
"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."
"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"
"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"
"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"
[emoji2398] Thadei Ole Mushi
Uyu mzee ajaja kusindikiza watu duniani kaja kutafutaSema huyu mzee mpaka amalize kufundisha mpira atakuwa amezoa mno pesa za waarabu. Anastahili of course moja ya makocha bora kuwahi kutokea Africa.
Ni kweli kabisa na anajua anachokitaka, plus ana deliver kile maboss zake wanakihitaji.Uyu mzee ajaja kusindikiza watu duniani kaja kutafuta
Tetesi kama hizo ni za kawaida sana katika kipindi cha kuelekea kwenye dirisha kubwa la usajili. Binafsi sioni kama kuna tatizo.
Kwanj hujui kuna propaganda kwenye usajili?MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!
✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !
"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"
"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi
"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."
"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"
"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"
"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"
© Thadei Ole Mushi