Klabu ya Al Wahada ya UAE imemtangaza Pitso Mosimane kuwa Kocha wao Mkuu

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
BREAKING: Klabu ya Al Wahda inayoshiriki Ligi Kuu ya United Arab Emirates (UAE) [emoji1256] imemtangaza Pitso Mosimane (58) kuwa Kocha Mkuu.

1687065683798.jpg
 
Kuna watu nilisikia wanasema anatua jangwani!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!

✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !

"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"

"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi

"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."

"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"

"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"

"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"

© Thadei Ole Mushi
 
[emoji3578] Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !

[emoji2398] Thadei Ole Mushi
Dar es salaam Young Africa ndo habari ya mjini kwa sasa huwezi kuta Sawadogo anauliziwa hata Mbeya city.

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!

[emoji3578] Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !

"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"

"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi

"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."

"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"

"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"

"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"

[emoji2398] Thadei Ole Mushi
Umecomment pasi na kufanya reasoning ya comment yangu, by the way sijawahi kuwa kwenye utumwa wa kubishana na arguments zisizo na maana kuhusu simba na yanga

I just said " nilisikia wanasema atashuka jangwani"

"Nikajiuliza mwenyewe hawa jamaa wana jeuri ya kuminyana na oil money yaani waarabu"

Sasa wapi nimeongea kitu kibaya???

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mtu alikuwa analipwa 250 milioni kwa mwezi pale misry leo hii ndio aje yanga[emoji23][emoji23]
 
Unaaambiwa uko al wahada wanampa mshaara wa dola 320k kwa mwezi yani atoke uko aje kwenye timu ambayo hata kiwanja awana[emoji23][emoji23]
 
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!

✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !

"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"

"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi

"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."

"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"

"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"

"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"

© Thadei Ole Mushi
Kwanj hujui kuna propaganda kwenye usajili?
 
Pesa ni tamu ila msimsifie sana, huyu kaweka pesa mbele zaidi kuliko legacy yake. Kashajishusha sana thamani yake, atazunguuuka huko apige pesa ila akitoka huko uarabuni hakuna sehemu nyingine timu kubwa itamtaka. Wanaojitambua kina Messi wameona bora wakamalizie mpira wao Marekani tu.

Nina uhakika kina Hersi gia waliyokuwa wanamuendea ni masuala ya ukombozi na urafiki wa Nyerere na Mandela ila walikuwa wanajua hawamuwezi kifedha, kiserikali wala..... mbele ya safari anaweza kuja kustaafia huku, pesa chafu za wanasiasa zikatumika kumlipa.
 
Back
Top Bottom