Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kuna siku umewahi kumsikia kiongozi wa Yanga anaongea kuhusu kumchukua pitso kama kocha wao?ila bongo ndio maana nishapoteza nayo radha kwenye mambo mengi sana maana ni watu wa siasa na propaganda tu!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
HahahaUTO waumbuliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Messi is quite different compared to piso, miaka 58 hata ingekua wewe kwa nini usichukue hicho kitita usomeshe wajukuu Harvard?,Pesa ni tamu ila msimsifie sana, huyu kaweka pesa mbele zaidi kuliko legacy yake. Kashajishusha sana thamani yake, atazunguuuka huko apige pesa ila akitoka huko uarabuni hakuna sehemu nyingine timu kubwa itamtaka. Wanaojitambua kina Messi wameona bora wakamalizie mpira wao Marekani tu.
Nina uhakika kina Hersi gia waliyokuwa wanamuendea ni masuala ya ukombozi na urafiki wa Nyerere na Mandela ila walikuwa wanajua hawamuwezi kifedha, kiserikali wala..... mbele ya safari anaweza kuja kustaafia huku, pesa chafu za wanasiasa zikatumika kumlipa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuonyeshe legacy yako basiPesa ni tamu ila msimsifie sana, huyu kaweka pesa mbele zaidi kuliko legacy yake. Kashajishusha sana thamani yake, atazunguuuka huko apige pesa ila akitoka huko uarabuni hakuna sehemu nyingine timu kubwa itamtaka. Wanaojitambua kina Messi wameona bora wakamalizie mpira wao Marekani tu.
Nina uhakika kina Hersi gia waliyokuwa wanamuendea ni masuala ya ukombozi na urafiki wa Nyerere na Mandela ila walikuwa wanajua hawamuwezi kifedha, kiserikali wala..... mbele ya safari anaweza kuja kustaafia huku, pesa chafu za wanasiasa zikatumika kumlipa.
Pesa tamu ila kutoka kujijengea heshima Afrika hadi kwenda uarabuni kupandisha timu daraja, hata yeye anajua anazingua ila mshahara unamliwaza. Anyway, kila mtu na life yake siwezi kumlaumu.Messi is quite different compared to piso, miaka 58 hata ingekua wewe kwa nini usichukue hicho kitita usomeshe wajukuu Harvard?,