Pesa ni tamu ila msimsifie sana, huyu kaweka pesa mbele zaidi kuliko legacy yake. Kashajishusha sana thamani yake, atazunguuuka huko apige pesa ila akitoka huko uarabuni hakuna sehemu nyingine timu kubwa itamtaka. Wanaojitambua kina Messi wameona bora wakamalizie mpira wao Marekani tu.
Nina uhakika kina Hersi gia waliyokuwa wanamuendea ni masuala ya ukombozi na urafiki wa Nyerere na Mandela ila walikuwa wanajua hawamuwezi kifedha, kiserikali wala..... mbele ya safari anaweza kuja kustaafia huku, pesa chafu za wanasiasa zikatumika kumlipa.