Klabu ya Azam FC yamfukuza Kocha wake Hans Van Der Pluijm na Msaidizi wake!

Jamaa zetu Chirwa na Ngoma wapo?
Maana walidai wanataka malipo mazuri ili waperform
 
Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi, Azam ijiepushe na siasa za yanga na simba kama wanataka mafanikio. Waachane na makocha na wachezaji hasa wanaotoka yanga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…