Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
....for better, for worse !haa hawa ndio wanaume, sio wale mabosi wangu pale london kwa washika mitutu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....for better, for worse !haa hawa ndio wanaume, sio wale mabosi wangu pale london kwa washika mitutu.
Ulli alishatoka,Bayern wote ni kama Zidane hivi huwezi leta longo longo.Hao wa Hashbanton groove akina Kraonke au Henry wa Liverpool wamejulia mambo haya ukubwani .Mkuu hivi Ulli ameshatoka nyuma ya nondo? Maana mtu kama Frantz huwezi mdanganya maana ameshinda kila kitu kwenye maisha yake ya soka
Kweli mkuu ,kina FSG wa Liverpool wale waamerika wapo kibiashara tofauti na wazee wao wa kijerumani wananikera sana im kopites die fun bhasi tuUlli alishatoka,Bayern wote ni kama Zidane hivi huwezi leta longo longo.Hao wa Hashbanton groove akina Kraonke au Henry wa Liverpool wamejulia mambo haya ukubwani .
Hata mm ni kopite ila sasa I have to re thinkKweli mkuu ,kina FSG wa Liverpool wale waamerika wapo kibiashara tofauti na wazee wao wa kijerumani wananikera sana im kopites die fun bhasi tu
Ha ha ha ha nimeipenda hyo 'Hassan'Njooni mtutimulie na Hasani Wenga!
Angekuwa bongo angechezea mayai viza kila mechi
Inanifanya nitafakari juu ya Lwandamina!Duuuh aiseee
Ha ha ha MugabeMkuu huyo hapo kama kuondoka ingekuwa safari hii. Lakini alivyosaini mkataba mpya tu. Ni dhahir shahiri ameamua kukita kambi hapo kama Mugabe..!
Duh! punguza ukali wa maneno nduguhaa hawa ndio wanaume, sio wale mabosi wangu pale london kwa washika mitutu.
anhaaInanifanya nitafakari juu ya Lwandamina!