Chelsea wako mbioni kumsajili David Datro Fofana 🇨🇮, makubaliano yamefikiwa ya kiasi cha €10m na Molde ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Ivory Coast aliyezaliwa 2002. Fabrizio Romano Reports
Makubariano binafsi bado yanajadiliwa na upande wa mchezaji.
Chezalive: Hii Project ya Todd Boehly & Graham Potter inaonekana ni ya muda mrefu ukiangaalia hata sajili zao wanazofanya unaona kabisa vijana ni kipau mbele, msije kushangaa Jorginho na Kante wasiongezwe mikataba.