Klabu ya Chelsea inajiandaa na msimu wa usajili kuweka kikosi chao sawa

Klabu ya Chelsea inajiandaa na msimu wa usajili kuweka kikosi chao sawa

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Chelsea wako mbioni kumsajili David Datro Fofana 🇨🇮, makubaliano yamefikiwa ya kiasi cha €10m na Molde ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Ivory Coast aliyezaliwa 2002. Fabrizio Romano Reports

Makubariano binafsi bado yanajadiliwa na upande wa mchezaji.

Chezalive: Hii Project ya Todd Boehly & Graham Potter inaonekana ni ya muda mrefu ukiangaalia hata sajili zao wanazofanya unaona kabisa vijana ni kipau mbele, msije kushangaa Jorginho na Kante wasiongezwe mikataba.

Casadei (19)
Chukwuemeka (19)
Fofana (21)
Slonina (18)
Datro
1671175418944.jpg
 
Huyo
David Datro Fofana, ni Didier Drogba mpya.
 
Back
Top Bottom