Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Klabu ya Chelsea imemfukuza kazi kocha wake, Antonio Conte baada ya kufikia naye makubaliano ya kusitisha mkataba wake
Klabu hiyo, kwa muda mrefu imehusishwa na habari za kutaka kumfukuza kocha huyo na sasa inatarajiwa kumtangaza kocha mpya Muitaliano, Maurizio Sarri kuchukua nafasi ya Conte
Kwa mujibu wa Shirika la habari za michezo, Sky Sports linasema kuwa Conte anaondoka Klabuni hapo akiwa amekubaliana na Mmiliki wa Klabu, Roman Abramovich kulipwa paundi Milioni 9 kama gharama za kusitisha mkataba
Conte anaondoka Klabuni hapo baada ya miaka miwili ya kuinoa Chelsea na kuipelekea kushida taji la FA msimu wa 2017/18 na kombe la ligi(Premier League) msimu wa 2016/17
-------
Antonio Conte is no longer Chelsea head coach, according to Sky in Italy.
Conte, who now appears to have left Stamford Bridge after two years in charge, led Chelsea to Premier League title glory in a successful first season at the helm.
His second campaign proved far less harmonious, however, and although they lifted the FA Cup in the spring, they could only finish fifth in the Premier League.
Conte is now understood to have left his post with 12 months remaining on his contract, with Maurizio Sarri set to take over from his Italian compatriot at Chelsea.
Napoli president Aurelio De Laurentiis announced on Wednesday that "Sarri is close to being new Chelsea manager. My lawyers are in talks with his lawyers to finalise everything."
Chelsea are yet to make a move in the summer transfer market, with uncertainty over their management team delaying their dealings.