Klabu ya Chelsea yamfungashia virago Kocha wake, Antonio Conte

Klabu ya Chelsea yamfungashia virago Kocha wake, Antonio Conte

lakn sioni sababu ya kumfukuza jamaa, anarekodi nzur tu pale, tatzo bosi wetu anataka chelsea ichukue epl misimu yote, hcho kitu hakiwezekani,
Nami nashindwa kuelewa. Jamaa alijitahidi sana, ila shukrani ya punda. Na huyu mpya, ajiangalie sana. Asifurahie kufurushwa Mtaliano mwenzie, na kupewa kibarua yeye. Anaweza asimalize msimu.
Binafsi, alikuwa ananipa burudani sana kwenye shangilia yake!
 
lakn sioni sababu ya kumfukuza jamaa, anarekodi nzur tu pale, tatzo bosi wetu anataka chelsea ichukue epl misimu yote, hcho kitu hakiwezekani,
anataka pasi kama wenger..kaanza kumlilia mourinho afundishe pasi kama wenger tangu 2005,hilo jamaa linalokuja linajua pasi ila mipango konki ya goli ni shida
 
Back
Top Bottom