GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Klabu ya @dodomajijifootballclub imetangaza PETER MANYIKA Sr Kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo.
Chanzo: ligikuu.com
Hongera sana Mexime Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC kwa kuamua Kumvuta Rafiki yako wa Kitambo Kipa wa zamani Peter Manyika aje kuwa nawe hapo. Na hata Kocha Mkuu wa Ihefu Aussems nae kamvuta Rafiki yake na Kocha waliyefanya nae Kazi wakiwa Simba SC Kocha Denis Kitambi ili awe Msaidizi wake.
Hivyo na Mimi GENTAMYCINE very soon nitawavuta Washkaji zangu Watatu adriz, Bujibuji Simba Nyamaume, Mshamba na Mtani wangu Arovera na Bila bila waje huku Uganda wale Kitengo mahala.