Klabu ya Dolodoma Jiji imetangaza Peter Manyika Sr Kuwa kocha wa makipa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Klabu ya @dodomajijifootballclub imetangaza PETER MANYIKA Sr Kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo.

Chanzo: ligikuu.com

Hongera sana Mexime Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC kwa kuamua Kumvuta Rafiki yako wa Kitambo Kipa wa zamani Peter Manyika aje kuwa nawe hapo. Na hata Kocha Mkuu wa Ihefu Aussems nae kamvuta Rafiki yake na Kocha waliyefanya nae Kazi wakiwa Simba SC Kocha Denis Kitambi ili awe Msaidizi wake.

Hivyo na Mimi GENTAMYCINE very soon nitawavuta Washkaji zangu Watatu adriz, Bujibuji Simba Nyamaume, Mshamba na Mtani wangu Arovera na Bila bila waje huku Uganda wale Kitengo mahala.
 
Inaonekana una uzaramo flani maana wenzako wamevuta mmoja we unavuta 10 waje Uganda kula matoke na kuoa kabisa
 
Muhimu sana hiyo na Mimi nipate kuvuka boda maishani mwangu nikatoe ushamba.
 
Dolodoma Jiji ndio timu ya wapi?
Wenye Akili wameelewa na wamejua kuwa ni typing error tu kitu ambacho ni kawaida ila kwa Mpiga Mluzi Wewe hujaelewa.
 
Dolodoma Jiji hatari sana. Peter Manyika alikuwa Na mtoto wake akadakia Simba kabla hajakumbwa Na kashfa ya ukitombi, sijui yuko timu gani sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…