Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Jifunze kujenga hoja. Hii tabia yako ya kutukana watu bila sababu, ni ya kitoto.Hizi Akili kamasi. Kamasi hasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kujenga hoja. Hii tabia yako ya kutukana watu bila sababu, ni ya kitoto.Hizi Akili kamasi. Kamasi hasa.
Kama viwanja vya umma vipi. Hata hivyo uwanja ni asset, ni chanzo cha mapatoMimi naona timu kumiliki kiwanja sio big deal wanaweza tumia viwanja vya umma cha msingi kuwe na training facilities za kisasa na academies
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huwezi kunielewa una GB ndogo kichwaniHizi Akili kamasi. Kamasi hasa.
Huu ndio ukweli, ni mechi ngapi mashabiki wana jaa uwanjani,? uwanja ni hasara hizo pesa ni bora kuwekeza kwenye kukuza watoto na training facilities ili kupingunza sajiri za gharama kubwaWachambuzi wameharibu watu, kiasi wanadhani uwanja wa mechi ni muhimu kuliko facilities za timu........
GYm, hostels, academies ni vya muhimu kuliko uwanja ambao kwa msimu mzima mechi utazochezea hapo hazizidi 30.
Kama huna pambania hivyo kwanza, uwanja utakuja baadae.
Kibongo bongo Project ya uwanja ina hasara kuliko faida.
Kamasi lililooza.
Kuna mtu kakata uwanja wa mazoezi?Kamasi lililooza.
Kumiliki uwanja maana yake unapungua gharama za uendeshaji. Unakodisha uwanja unalipia hosteli, uwanja wenyewe.
Mapato ya mlangoni Ni yako.
Maana yake utakuwa na uwanja wwnye facilities zote una uhakika was timu Kufanya mazoezi kwa utulivu.
Watakuwa na jiko na wataalamu wao wa lishe.
Yapo mengi Sana.
Ulishajiuliza KWANINI Simba wanapambana kujenga pale Bunju? Walisema wanatumia Hadi milioni 200 kwa ajili ya kukodi uwanja wa mazoezi tu.
Labda wewe mwenzangu mwenye akili terabaiti 10, KWAKO NYUMBA ya kupanga Ni bora kuliko kujenga ya KWAKO.
Kwako akili kubwa!
Wachambuzi wameharibu watu, kiasi wanadhani uwanja wa mechi ni muhimu kuliko facilities za timu........
GYm, hostels, academies ni vya muhimu kuliko uwanja ambao kwa msimu mzima mechi utazochezea hapo hazizidi 30.
Kama huna pambania hivyo kwanza, uwanja utakuja baadae.
Kibongo bongo Project ya uwanja ina hasara kuliko faida.
Lazima wanavyo.....Unavyodhani hadi timu inajenga uwanja wa namna hiyo ikose hivyo ulivyotaja.
Hata bongo bado ni muhimu ukitazama kwa muda mrefu zaidi.
Huku ikizingatia uwekezaji katika timu na kuwa inafanya vizuri.
Sio kwamba lazima wajenge uwanja mkuubwa wa 5ok, hapana, kibongobongo hata wa watu 25k unatosha kisha pichi nzuri nk, mechi moja tuu ndio iende taifaLazima wanavyo.....
Lakini why tunawapa presha kwenye jambo ambalo sio la lazima.
Na kwenye mambo ya muhimu hatuwapi presha.
Uwanja kwa hali iliyopo bongo sasa sio lazima au sio kipaumbele namba 1.
Hawana hata wataalamu wa Nutrition ila tunawapigia kelele "waalgeria wamejenga uwanja nyie mnasubiri nini"
Haina maana sasa.......Sio kwamba lazima wajenge uwanja mkuubwa wa 5ok, hapana, kibongobongo hata wa watu 25k unatosha kisha pichi nzuri nk, mechi moja tuu ndio iende taifa
Unaona haina faida kutokana na aina ya uchumi wetu, tickets za kima cha chini tunanunua kwa Tsh3000 ila kwa wenzetu huko ukiingiza raia 25K ni pesa ndefu sana.Haina maana sasa.......
Kama unao uwanja lakini mechi zako zote kubwa unachezea Taifa.
Mfano Simba na Wydad uchezeshe kwenye watu 25k?