choza choza JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 2,081 Reaction score 3,831 Apr 10, 2023 #41 Illmatic said: Haina maana sasa....... Kama unao uwanja lakini mechi zako zote kubwa unachezea Taifa. Mfano Simba na Wydad uchezeshe kwenye watu 25k? Click to expand... Elfu 25 ni watu wengi, kiingilio hakiwi tena buku 3
Illmatic said: Haina maana sasa....... Kama unao uwanja lakini mechi zako zote kubwa unachezea Taifa. Mfano Simba na Wydad uchezeshe kwenye watu 25k? Click to expand... Elfu 25 ni watu wengi, kiingilio hakiwi tena buku 3
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Apr 10, 2023 #42 Aisee,wamejitahid sana hadi kuna kilabu wamezizid na zipo pale uingereza premier league kama Man u na liverpool
Aisee,wamejitahid sana hadi kuna kilabu wamezizid na zipo pale uingereza premier league kama Man u na liverpool
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,140 Reaction score 9,667 Apr 10, 2023 #43 choza choza said: Elfu 25 ni watu wengi, kiingilio hakiwi tena buku 3 Click to expand... Hawatokuja..... Watakuja mechi kubwa tu, na uwanja hautotosha. So ni kazi bure.
choza choza said: Elfu 25 ni watu wengi, kiingilio hakiwi tena buku 3 Click to expand... Hawatokuja..... Watakuja mechi kubwa tu, na uwanja hautotosha. So ni kazi bure.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 10, 2023 #44 Ngoja nikae kimya
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Apr 10, 2023 #45 Kwa mkapa hatoki mtu
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Apr 10, 2023 #46 Bonge la uwanja na naona wamejenga uwanja wa angalau miaka 70 mbele