Klabu ya KMC Wawavaa Wachambuzi juu ya goli kipa wao David Kisu

Mbona hawalisemi shati lao Manula kama anauza mechi? Nchi hii imekuwa na wajuaji wengi sana
Ni hoja dhaifu sana kutoka kwako na sikutegemea. Huwezi kutetea jambo bovu kwa kusema 'mbona na kule lilitokea'!
 
Mipira bahasha haiwezi kuisha kwa hizi timu mbili za kariakoo. Zinajua kutafuta matokeo
 
Huyu kipa ni msengerema Sana, hata ile mechi ya kwanza aliwapa goli 2 za waziwazi kabisa
 
Kwamba kushabikia timu ambayo imesababisha timu 3 nyingine hapa nchini zishiriki michuano ya kimataifa, mara 2 mfululizo, huku ikipewa heshima ya kushiriki Super Cup ni kujitoa ufahamu? Nadhani unapaswa upewe kitanda pale Mirembe.
Mkuu Mimi nadhani Hawa ndo wale Mama etu mpendwa alisema Wana uelewa wa kawaida Kama kiongozi mkubwa asingeweza kusema Wana ulemavu wa akili
 
Mkuu unazungumzia timu tatu nyingine zipi ambazo zimesaidiwa na kimenyumenyu?
Angalia huyu boya ule msimu ulioenda ukapigwa nje ndani na rivers united ulienda Kama bingwa wa mapinduzi haya biashara united alienda Kama Nani Azam syo timu tatu halafu mkiambiwa wenye akili ni wawili mnalalamika
 
We poyoyo nilitaka zitajwe timu tatu zilizosaidiwa na kinyumenyume FC. Punguza mihemuko na kulingana na maelezo yako kumbe sio timu tatu ni mbili
 
Huyu kipa ni msengerema Sana, hata ile mechi ya kwanza aliwapa goli 2 za waziwazi kabisa
Hii mechi walicheza lini? Maana Yanga mechi ya kwanza alishinda goli 1 na lilifungwa na Feisal salum Abdalah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…