Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ni hoja dhaifu sana kutoka kwako na sikutegemea. Huwezi kutetea jambo bovu kwa kusema 'mbona na kule lilitokea'!Mbona hawalisemi shati lao Manula kama anauza mechi? Nchi hii imekuwa na wajuaji wengi sana