Klabu ya KMC Wawavaa Wachambuzi juu ya goli kipa wao David Kisu

Vontec

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
245
Reaction score
386
MKEKA WA Christina Mwagala (Msemaji wa klabu ya KMC) [emoji1614]...

Kwa mara ya pili leo narudi tena kuzungumza na baadhi ya watu ambao wanajiita wachambuzi.

Tangu jana baada ya kumalizika kwa mchezo wetu dhidi ya Yanga ambao tulipoteza kwa goli moja kumekuwa na picha zenye maandiko ambayo sio mazuri yanatembea mitandaoni kuhusu Golikipa wetu Davidi Kisu Mapigano.

Kisu ni Golikipa mzuri na tangu tumeanza Ligi amefanya kazi kubwa sana kuisaidia Timu yetu ya KMC na zipo mechi ngumu ambazo tumecheza na Kisu kwa nafasi yake ya Golikipa amefanya saving sana na hivyo kuisaidia Timu isipoteze baadhi ya michezo na kutoka salama.

Lakini pia kama haitoshi Kisu anashika nafasi ya pili kwakuwa na Saving nyingi akiongozwa na Hossen Abel, Mapigano ana cleenshit tano hadi sasa . Leo hii unapokuja kuanza kumuatack mchezaji wetu kwa maneno ya interest yako unatoa wapi hiyo haki? Tunatakiwa kufahamu kwamba mpira wa miguu ni mchezo wa makosa, namakosa tumeumbiwa sisi binadamu .

Sasa unatoa wapi huo uthubutu wakumsema vibaya mchezaji wetu, kwa nyie wachambuzi nani amewahi kudaka mpira mtuambie kama nyie hamjawahi kufanya makosa hadi kufikia hatua ya kumsema vibaya mchezaji wetu.

Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho unajua kabisa kitampa shida mchezaji, Davidi kisu ukiacha kuwa ni mchezaji anafamilia , lakini pia bado ni kijana ambaye anaendelea kutafuta kupitia kipaji chake cha mpira .

Ifike wakati mtambue umuhimu wa kutumia kalamu zenu vizuri za kiuchambuzi badala ya kubomoa kwasababu ukosoaji wenu ambao mnafanya unapelekea kumuathiri ki Saikolojia mchezaji sio Kisu tu bali na wengine na hivyo kupoteza confidence pindi anapopata nafasi ya kucheza.

Ukosoaji wetu huo wa tuhuma unawakosesha pia wachezaji kuaminika sehemu nyingine pindi anapohitakika. Sisi hatukatai kukosolewa ila ni vizuri mnapotukosoa mtukosoe kwa heshima na staha.

Nimemaliza.

Credits IG: @dabotentv
 
Basi kama ni hivyo, hata Abdallah Heri "Sebo" wa Azam, alipiga kile kichwa kwa makusudi ili kuiokoa timu ya simba dhidi ya ile fedheha ya juzi.

Si katika mpira, wachezaji hawafanyi makosa!
 
Wafuasi wa Simba hawaamini ktk mpinzani wao kushinda. Wanajaribu kutafuta makosa ktk udhaifu wa kibinaadamu. Yule kipa alipanchi ule mpira akiwa off-balance. AngefanyaJe ?!. Mabeki waliowahiwa ule mpira kwanini wasibebe lawama ?!.

Wachambuzi wengi ni hovyo kabisa
Mbona hawalisemi shati lao Manula kama anauza mechi? Nchi hii imekuwa na wajuaji wengi sana
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Zuwena/Kolowizards daaah hii timu ina majina ya ajabu ajabu sana, kuishabikia lazima ujitoe ufahamu [emoji3]
 
MKEKA WA Christina Mwagala (Msemaji wa klabu ya KMC) [emoji1614]...

Kwa mara ya pili leo narudi tena kuzungumza na baadhi ya watu ambao wanajiita wachambuzi.

Tangu jana baada ya kumalizika kwa mchezo wetu dhidi ya Yanga ambao tulipoteza kwa goli moja kumekuwa na picha zenye maandiko ambayo sio mazuri yanatembea mitandaoni kuhusu Golikipa wetu Davidi Kisu Mapigano.

Kisu ni Golikipa mzuri na tangu tumeanza Ligi amefanya kazi kubwa sana kuisaidia Timu yetu ya KMC na zipo mechi ngumu ambazo tumecheza na Kisu kwa nafasi yake ya Golikipa amefanya saving sana na hivyo kuisaidia Timu isipoteze baadhi ya michezo na kutoka salama.

Lakini pia kama haitoshi Kisu anashika nafasi ya pili kwakuwa na Saving nyingi akiongozwa na Hossen Abel, Mapigano ana cleenshit tano hadi sasa . Leo hii unapokuja kuanza kumuatack mchezaji wetu kwa maneno ya interest yako unatoa wapi hiyo haki? Tunatakiwa kufahamu kwamba mpira wa miguu ni mchezo wa makosa, namakosa tumeumbiwa sisi binadamu .

Sasa unatoa wapi huo uthubutu wakumsema vibaya mchezaji wetu, kwa nyie wachambuzi nani amewahi kudaka mpira mtuambie kama nyie hamjawahi kufanya makosa hadi kufikia hatua ya kumsema vibaya mchezaji wetu.

Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho unajua kabisa kitampa shida mchezaji, Davidi kisu ukiacha kuwa ni mchezaji anafamilia , lakini pia bado ni kijana ambaye anaendelea kutafuta kupitia kipaji chake cha mpira .

Ifike wakati mtambue umuhimu wa kutumia kalamu zenu vizuri za kiuchambuzi badala ya kubomoa kwasababu ukosoaji wenu ambao mnafanya unapelekea kumuathiri ki Saikolojia mchezaji sio Kisu tu bali na wengine na hivyo kupoteza confidence pindi anapopata nafasi ya kucheza.

Ukosoaji wetu huo wa tuhuma unawakosesha pia wachezaji kuaminika sehemu nyingine pindi anapohitakika. Sisi hatukatai kukosolewa ila ni vizuri mnapotukosoa mtukosoe kwa heshima na staha.

Nimemaliza.

Credits IG: @dabotentv
Upumbavu wa Jemadari Said unafanya wachambuzi wote waonekane viazi.
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Zuwena/Kolowizards daaah hii timu ina majina ya ajabu ajabu sana, kuishabikia lazima ujitoe ufahamu [emoji3]
Siwezi kuwasema mashabiki maana hao ni kawaida kama walivyo baadhi ya mashabiki wa Yanga. Lakini mwajiriwa rasmi wa Media kuandika tuhuma za uzushi kama anavyofanya Jemadari Said ni ushenzi. Unaandika kutuhumu watu na kuwaharibia hadhi mbele ya jamii huku wewe hutaki ukosolewe Kwa ukanjanja wako.
 
Wachambuzi waswahili ni tatizo kubwa.

Kocha Nabi aliwauliza juzi mnasema na kutangaza kua siwezi kuongoza timu mechi za kimataifa siwezi kushinda.
Sasa leo hiki nini?
 
Ila hawa hawa wachwambuzi wanakera kuna muda wakigonga kwny timu yako lazima upate hasira
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Zuwena/Kolowizards daaah hii timu ina majina ya ajabu ajabu sana, kuishabikia lazima ujitoe ufahamu [emoji3]
Kwamba kushabikia timu ambayo imesababisha timu 3 nyingine hapa nchini zishiriki michuano ya kimataifa, mara 2 mfululizo, huku ikipewa heshima ya kushiriki Super Cup ni kujitoa ufahamu? Nadhani unapaswa upewe kitanda pale Mirembe.
 
Mkuu unazungumzia timu tatu nyingine zipi ambazo zimesaidiwa na kimenyumenyu?
 
Back
Top Bottom