Klabu ya Matiyasi FC ya Afrika Kusini yafungiwa maisha kwa kushinda goli 59 katika mechi moja

South mbali sana hiyo staili mbona kama wameiga Zenji japo wao huko wamekomeshea kabisa!

Kuna ile video ilizunguka mtandaoni kipa huko Zenji akiuruka mpira ikawa goli sijui la 20!
Hata zanzibar huko mbali Sana . Hapa bongo tu mtani huwa anampiga mtani mweziwe hadi 6.
 
Kinanichosha hapo kwenye kujifunga magoli 40. Walikuwa wanajifungaje ??? Na mtu kapewa red yupo nje lakin bado anatupia magoli ndani

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Dodoma jiji nayo ilipanga matokeo na Ng'ombe fc golikipa aliusokomeza mpira wavuni makusudi
 
Hawa wangechunguzwa vema, huenda watabuni aina nyingine ya mchezo. Walichofanya ni bonge la ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…