beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) imemfuta kazi kocha wao Thomas Tuchel kufuatiwa kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni.
PSG inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa ikiwa na pointi 35, baada ya ushindi wa jana wa mabao 4-0 dhidi ya Strasbourg.