Klabu ya PSG yamtimua Thomas Tuchel

Klabu ya PSG yamtimua Thomas Tuchel

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) imemfuta kazi kocha wao Thomas Tuchel kufuatiwa kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni.

PSG inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa ikiwa na pointi 35, baada ya ushindi wa jana wa mabao 4-0 dhidi ya Strasbourg.
 
Pamoja na Kushinda Jana... Moise Kean kamsaidia kocha wake lakini bado wamemtoa Nduki duh!
 
Ushindi wa mabao manne na nafasi ya tatu ila bado wenye team wanaona that is “not good enough”.

Arsenal sijui wanakwama wapi?😊
 
Arteta ajipange. Stats zitaacha kumbeba.
 
Singida united nao wameshushwa Kutoka ngaz ya daraja LA 1 mpaka ngaz ya mkoa
 
Tuchel kutimulia ni sahihi kabisa maana anashinda mechi zake kwa uwezo wa wachezaji na si mbinu hana tofauti na Sven
 
Back
Top Bottom