beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Dec 24, 2020 #1 Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) imemfuta kazi kocha wao Thomas Tuchel kufuatiwa kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni. PSG inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa ikiwa na pointi 35, baada ya ushindi wa jana wa mabao 4-0 dhidi ya Strasbourg.
Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) imemfuta kazi kocha wao Thomas Tuchel kufuatiwa kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni. PSG inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa ikiwa na pointi 35, baada ya ushindi wa jana wa mabao 4-0 dhidi ya Strasbourg.
Will Jr JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 4,897 Reaction score 7,074 Dec 24, 2020 #2 Wamchukue klopp awape UEFA
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 Dec 24, 2020 #3 Will jr said: Wamchukue klopp awape UEFA Click to expand... Dili la Pochettino hilo.
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 14,809 Reaction score 11,825 Dec 24, 2020 #4 Pamoja na Kushinda Jana... Moise Kean kamsaidia kocha wake lakini bado wamemtoa Nduki duh!
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Dec 24, 2020 #5 Ushindi wa mabao manne na nafasi ya tatu ila bado wenye team wanaona that is “not good enough”. Arsenal sijui wanakwama wapi?😊
Ushindi wa mabao manne na nafasi ya tatu ila bado wenye team wanaona that is “not good enough”. Arsenal sijui wanakwama wapi?😊
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,805 Reaction score 15,529 Dec 24, 2020 #6 Don Clericuzio said: Dili la Pochettino hilo. Click to expand... Jamaa anataka tumroge huyu
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 Dec 24, 2020 #7 Manga ML said: Jamaa anataka tumroge huyu Click to expand... Wivu tu, anataka tuwe kama wao. The Gunners huyo.
Manga ML said: Jamaa anataka tumroge huyu Click to expand... Wivu tu, anataka tuwe kama wao. The Gunners huyo.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Dec 24, 2020 #8 Menejimenti ya simba ijifunze sio wanamlealea kishingo
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Dec 24, 2020 #9 Arteta ajipange. Stats zitaacha kumbeba.
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Dec 24, 2020 #10 Singida united nao wameshushwa Kutoka ngaz ya daraja LA 1 mpaka ngaz ya mkoa
H Hatugombani JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,142 Reaction score 805 Dec 25, 2020 #11 Tuchel kutimulia ni sahihi kabisa maana anashinda mechi zake kwa uwezo wa wachezaji na si mbinu hana tofauti na Sven
Tuchel kutimulia ni sahihi kabisa maana anashinda mechi zake kwa uwezo wa wachezaji na si mbinu hana tofauti na Sven
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 26, 2021 #12 Ohoooo!!!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 26, 2021 #13 Hatugombani said: Tuchel kutimulia ni sahihi kabisa maana anashinda mechi zake kwa uwezo wa wachezaji na si mbinu hana tofauti na Sven Click to expand... shukrani mkuu
Hatugombani said: Tuchel kutimulia ni sahihi kabisa maana anashinda mechi zake kwa uwezo wa wachezaji na si mbinu hana tofauti na Sven Click to expand... shukrani mkuu