Klabu ya Simba huwenda ikasusia mechi ya Dabi, waiandikia barua Bodi ya Ligi kisa mechi kupelekwa Zanzibar

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye.

=

Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan Complex ilitolewa kwanza na Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe badala ya Bodi ya Ligi TPLB na Bodi ikaja kutangaza siku yake ya pili ya Februari 16, 2026 baada ya Ali Kamwe kutangazwa jana yake Februari 15, 2026.

Katika barua hiyo pia Simba Sports Club imehoji kanuni ipi imetumika kuhamisha uwanja maana ilitakiwa taarifa ya kuhamishwa kwa uwanja itoke kabla ya siku 21 kama kanuni inavyosema, taarifa ya kuhamishwa uwanja ilipaswa kutoka siku 21 kabla ya siku ya mechi husika.

1771508750698.png
 
Wajinga watajuana wenyewe

Mbumbumbu hawana uweZo wa kugoma waende Zanzibar tuwapige goli 2
 
Zenji safari hii ligi haijasimama? Hii mechi wakipeleka kule sio mgongano?
 
Back
Top Bottom