Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #141
Tafuta kazi ya kufanya wenzio wanaingiza pesa wewe unaingiza njaaKaribu tena, tunakaribisha ahadi mpya maana kuna mechi nyingine weekend hii. How was it behind the bars? 😀
Moderator mmetimiza wajibu wenu?Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
Hawana akiliBan imeisha toa ahadi nyingine mkuu ili mwakarobo wasikuzoee kabisa
Umekunywa urojo tayari bossTafuta kazi ya kufanya
Uje nikupe kazi ya kufanyaTafuta kazi ya kufanya
Itabidi atoe ahadi ya kuolewa na mfagiaji wa barabara kule Chamazi 😂Kama yeye ndio mke?
Atoe ahadi ya kuolewa?Naona humtakii mema huyo.Ban imeisha toa ahadi nyingine mkuu ili mwakarobo wasikuzoee kabisa