Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hamumpendi kibu wakati kwa kule mbele yeye ndio anaeonakana yupo on form tofauti na wengineKamuangalie Youtube halafu njoo hapa, Kifupi strength ya Mguu wa Kushoto na Kulia Haina Tofauti, Body Fitness yake ni Ya juu sanaa, Akili yake ya Kufunga iko mbali sanaa, Ku drible mpira ndio kabisaaa
Kifupi wanahitajika akina Moses Phiri 2, Tukimchukua na Msuva, Basi Kagere Mugalu, Bocco na Kibu Denis Kwa heri
Mzee huyu, akikutana na kina bwana mdogo Kibwana, atatema nyongo
Klabu ya Simba leo hii Juni 15, 2022 hatimaye imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Moses Phiri raia wa Zambia.
Phiri amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi akitokea klabu ya Zanaco FC ya nchini Zambia.
Wapuuzi wanaomchukia Kibu Denga. Takwimu na mikimbio yake vinambeba kuliko akina Boko, Chris na MeddieKwanini hamumpendi kibu wakati kwa kule mbele yeye ndio anaeonakana upo on form tofauti na wengine
Msuva ndio nashindwa kuelewa kwann viongozi wasimu approach.Kikubwa Ni kumlipa tu hela ndefu Kama mchezaji wa kimataifa kama 15M na zaidi Hivi.Kuliko kwenda kubahatusha wachezaji wa kimataifa usio kua na uhakika naoKamuangalie Youtube halafu njoo hapa, Kifupi strength ya Mguu wa Kushoto na Kulia Haina Tofauti, Body Fitness yake ni Ya juu sanaa, Akili yake ya Kufunga iko mbali sanaa, Ku drible mpira ndio kabisaaa
Kifupi wanahitajika akina Moses Phiri 2, Tukimchukua na Msuva, Basi Kagere Mugalu, Bocco na Kibu Denis Kwa heri
Simba Naona mwaka huu imetarget zaidi CAF, sio Kama uto wanajiendea endea tu Kama gari bovu,Ishushwe miraba mingine tukiwashe CAF champion kwa vurugu
Labda CUF ya LipumbaSimba Naona mwaka huu imetarget zaidi CAF, sio Kama uto wanajiendea endea tu Kama gari bovu,
Yanga wanasajili mchezaji wa kuifunga Simba, hiyo ya kuchukua kombe ni kama ziada tu ila lengo lao kuu ndio hiloSimba Naona mwaka huu imetarget zaidi CAF, sio Kama uto wanajiendea endea tu Kama gari bovu,
Kwahiyo phiri ndio mchezaji wa ajabu katika soka la Africa? Wakisema watoke wafumania nyavu 20 bora kwa Caf huyo Phiri atakuwepo? Angalia hapa wafungaji bora wa Caf confederation cup. Sijamaanisha ni mchezaji mbaya, bali sio mchezaji wa kutikisa Africa kwa usajili.Simba Naona mwaka huu imetarget zaidi CAF, sio Kama uto wanajiendea endea tu Kama gari bovu,
Chikwende, Morrison, Kwasi, n.k hawa ni baadhi ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga baada ya kuifunga Simba.Yanga wanasajili mchezaji wa kuifunga Simba, hiyo ya kuchukua kombe ni kama ziada tu ila lengo lao kuu ndio hilo
Ditram Nchimbi aliifunga Yanga SC mabao matatu (hat-trick) akiwa Polisi Tanzania, baadaye akasajiliwa Yanga hapo unasemaje?Chikwende, Morrison, Kwasi, n.k hawa ni baadhi ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga baada ya kuifunga Simba.
Mm nasema Mosses Phiri ni mchezaji wa kawaida sana, Mugalu ana unafuu mkubwa kuliko Phiri, kama Phiri ndio wa kutupeleka nusu fainali michuano ya CAF sawa bwana