Klabu ya Simba imetangaza kumsajili mshambuliaji Moses Phiri

๐Ÿ˜๐Ÿ˜Watu mkishiba ugali mna maneno sana
 
Kwanini hamumpendi kibu wakati kwa kule mbele yeye ndio anaeonakana yupo on form tofauti na wengine
 
Mzee huyu, akikutana na kina bwana mdogo Kibwana, atatema nyongo
 
Msuva ndio nashindwa kuelewa kwann viongozi wasimu approach.Kikubwa Ni kumlipa tu hela ndefu Kama mchezaji wa kimataifa kama 15M na zaidi Hivi.Kuliko kwenda kubahatusha wachezaji wa kimataifa usio kua na uhakika nao
 
Mkisikia Yanga wanamtaka mtu mnaamini kabisa atakuร  mzuri na atawafaa,eti mnajiwahi lumtaka,
Nyie kwenye swala la scouting hamjiwezi kabisa
 
Simba Naona mwaka huu imetarget zaidi CAF, sio Kama uto wanajiendea endea tu Kama gari bovu,
Kwahiyo phiri ndio mchezaji wa ajabu katika soka la Africa? Wakisema watoke wafumania nyavu 20 bora kwa Caf huyo Phiri atakuwepo? Angalia hapa wafungaji bora wa Caf confederation cup. Sijamaanisha ni mchezaji mbaya, bali sio mchezaji wa kutikisa Africa kwa usajili.
 
Yanga wanasajili mchezaji wa kuifunga Simba, hiyo ya kuchukua kombe ni kama ziada tu ila lengo lao kuu ndio hilo
Chikwende, Morrison, Kwasi, n.k hawa ni baadhi ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga baada ya kuifunga Simba.
 
Chikwende, Morrison, Kwasi, n.k hawa ni baadhi ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga baada ya kuifunga Simba.
Ditram Nchimbi aliifunga Yanga SC mabao matatu (hat-trick) akiwa Polisi Tanzania, baadaye akasajiliwa Yanga hapo unasemaje?

Na wale ambao hawafungi lakini wanasajiliwa je..? Nadhani haya mambo hayana afya kwenye mchezo wa Soka.
 
Mm nasema Mosses Phiri ni mchezaji wa kawaida sana, Mugalu ana unafuu mkubwa kuliko Phiri, kama Phiri ndio wa kutupeleka nusu fainali michuano ya CAF sawa bwana

Muunganiko wa wachezaji na upambanaji wao uwanjani ndiyo unaipeleka timu mbele na kubeba makombe.

Suala la Usajili uwa ni mchakato kwa hiyo hizi ni hatua nzuri tuupongeze uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ