Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
- Thread starter
-
- #21
Safi mkuu nimeonaKapewa jezi namba 7 mkuu
Hayo Ni yako Sasa kikubwa mafanikio!Wazungu ni tofauti na ngozi nyeusi kutoka Afrika, kwa ngozi nyeusi kwenye miaka yake ongeza 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, msimu huo alipofunga mabao 9, Zambia iliendesha ligi ndogo ili kubadilisha mwanzo wa msimu uendane na kalenda ya CAF, na hata mfungaji bora alifunga mabao 10, ina maana Mugalu alikuwa goli moja nyuma ya top scorers (waliokuwa watatu akiwamo Laudit Mavugo). Kwa hiyo timu zilicheza mechi 18 tu, makundi mawili ya timu kumi kumi, na bingwa alipatikana kwa kuwashindanisha waliokuwa vinara kila kundiYamekuwa hayo tena! Ila takwimu zake za kufunga zinashuka, alianza na magoli 24, msimu uliofata 19, uliopita ana 9 tu, kwa hiyo akifunga mawili msimu huu msianze kusingizia jezi no 9 nyie kituo cha kulelea wazee!
Felix Sunzu alivaa jezi # ngapi ?Hapana nimezingatia historia wachezaji waloivaa pale simba hawakufanya vizuri
Cr Mugalu.View attachment 1540314
Kama Chriss Mugalu = Chriss Ronaldo