Klabu ya Simba, Mugalu asipewe jezi namba 9

Klabu ya Simba, Mugalu asipewe jezi namba 9

Yamekuwa hayo tena! Ila takwimu zake za kufunga zinashuka, alianza na magoli 24, msimu uliofata 19, uliopita ana 9 tu, kwa hiyo akifunga mawili msimu huu msianze kusingizia jezi no 9 nyie kituo cha kulelea wazee!
Mkuu, msimu huo alipofunga mabao 9, Zambia iliendesha ligi ndogo ili kubadilisha mwanzo wa msimu uendane na kalenda ya CAF, na hata mfungaji bora alifunga mabao 10, ina maana Mugalu alikuwa goli moja nyuma ya top scorers (waliokuwa watatu akiwamo Laudit Mavugo). Kwa hiyo timu zilicheza mechi 18 tu, makundi mawili ya timu kumi kumi, na bingwa alipatikana kwa kuwashindanisha waliokuwa vinara kila kundi

1597744002848.png
 
Back
Top Bottom