Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga
Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya kupokea vichapo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam na Tabora united katika uwanja wa azam complex.
Soma Pia: Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex