permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Viongozi maturity ni nini??Simba Wana viongozi ambao ni maturity mno kwenye kuamua vitu kama hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi maturity ni nini??Simba Wana viongozi ambao ni maturity mno kwenye kuamua vitu kama hvyo
Wanaamini ushirikina kama hawaMkuu hao majamaa wanaamini ushirikina lakini wanasahau wachezaji wameshuka viwango
Sio kila mwanaume ana nyumba wengine wamepangaukisikia KUBWA JINGA, ujue ni SIMBA & YANGA. wapo busy kutumia viwanja vya watoto....kutwa inakenua meno na kushangilia wakijinasibu timu kubwa..hakuna lolote mineno tu....hawana hata viwanja. unajiita mwanaume huna hata nyumba ya kulala...si ujinga huu 😀 😀 😀
Mateja mnachekesha sana.[emoji1787] naona simba kawa nyau anakimbia anaogopo hasira za mkizi zisije kula kwake, maana yanga anaweza kufungwa hata na pamba lkn simba akaja kuliwa vibaya aibu ya nchi...
Simba wanacheza soka hawana muda wa kupoteza kuanza kupambana na wanga.[emoji1787] naona simba kawa nyau anakimbia anaogopo hasira za mkizi zisije kula kwake, maana yanga anaweza kufungwa hata na pamba lkn simba akaja kuliwa vibaya aibu ya nchi...
SIMBA NA YANGA...walikopanga hakujulikani kabisa, viwanja vyao vipo mifukoni 😀Sio kila mwanaume ana nyumba wengine wamepanga
Akili yangu bado haijatengamaa baada ya kichapo cha Tabora, kwa hiyo siwezi kukujibu.Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga
Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya kupokea vichapo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam na Tabora united katika uwanja wa azam complex.
Soma Pia: Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex
HahahaaaSIMBA NA YANGA...walikopanga hakujulikani kabisa, viwanja vyao vipo mifukoni 😀
Ruksa.Sheria za Tff au bodi ya ligi issemaje?