Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Yanga ni wanga wanatafuta sababu sasa Simba wanawaachia uwanja.Simba ni wastaarabu,wameona mbali maana mechi 3 kwenye uwanja mmoja isingependeza,ligi iwe hapo, FA iwe hapo kimataifa iwe hapo pia na wote wawili wana mechi za kimataifa,huo uwanja si utageuka matuta ya viazi
Simba warudi wakakutane na walivyoviacha.Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga
Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya kupokea vichapo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam na Tabora united katika uwanja wa azam complex.
Soma Pia: Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex
Si mlisema yanga kawafata ghetto anaenda kufa sasa mnakimbia nini, kama nyie ni wanaume si mbaki hapo hapo!Simba ni wastaarabu,wameona mbali maana mechi 3 kwenye uwanja mmoja isingependeza,ligi iwe hapo, FA iwe hapo kimataifa iwe hapo pia na wote wawili wana mechi za kimataifa,huo uwanja si utageuka matuta ya viazi
Wenye akili ni mzee Manara na Kikwete we haupoSi mlisema yanga kawafata ghetto anaenda kufa sasa mnakimbia nini, kama nyie ni wanaume si mbaki hapo hapo!
Mkuu hao majamaa wanaamini ushirikina lakini wanasahau wachezaji wameshuka viwangoY
Yanga ni wanga wanatafuta sababu sasa Simba wanawaachia uwanja.
Mchawi mpe mtoto akulelee
π π π wewe jamaa mkorofi sana.Wenye akili ni mzee Manara na Kikwete we haupo
Pia pale kwenu wote ni mbumbumbu akuna anayejielewa ata Mmoja ndio maana ni rahisi sana kwa Mangungu kuwaongoza!Wenye akili ni mzee Manara na Kikwete we haupo
.. matured,tumieni kiswahili tuSimba Wana viongozi ambao ni maturity mno kwenye kuamua vitu kama hvyo
Ata=hataPia pale kwenu wote ni mbumbumbu akuna anayejielewa ata Mmoja ndio maana ni rahisi sana kwa Mangungu kuwaongoza!