Tetesi: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex

Sio kila mwanaume ana nyumba wengine wamepanga
 
Utopolo wamehama sababu kwamba wao ni washirkina wakubwa na wachawi, na pia ili wawwze kufanya uchawi na kujidunga masindano kwa uhuru zaidi mana sidhan kama uwanja wa kmc una cctv kamera..
 
[emoji1787] naona simba kawa nyau anakimbia anaogopo hasira za mkizi zisije kula kwake, maana yanga anaweza kufungwa hata na pamba lkn simba akaja kuliwa vibaya aibu ya nchi...
Mateja mnachekesha sana.
 
[emoji1787] naona simba kawa nyau anakimbia anaogopo hasira za mkizi zisije kula kwake, maana yanga anaweza kufungwa hata na pamba lkn simba akaja kuliwa vibaya aibu ya nchi...
Simba wanacheza soka hawana muda wa kupoteza kuanza kupambana na wanga.
Nguvu ya yanga siku zote ni kwenye uchawi.
 
Akili yangu bado haijatengamaa baada ya kichapo cha Tabora, kwa hiyo siwezi kukujibu.
 
Mpira wa bongo unaongozwa na hisia na watahama kweli.
 
Tupo pamoja hata wakienda Ruangwa...
Utopolo ni mazuzu...sababu za kuhama ni za kijinga mnoo...
Bora Simba wanaeleweka uwanja uko overloaded bora wagawane timu mbili mbili...
 
Hatuwezi kukaa na wanga... 🤣 🤣 🤣 🤣
 
CHAMAZI HAITAKI MAKAMALI YA SIMBA NA YANGA.

Azam hawataki kamali na ushirikina wa simba na yanga.

Simba na yanga hawapo tayari kuacha kamali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…