Klabu ya Simba SC yamteua Method Mwanjale kuwa Nahodha mpya akichukua nafasi ya Jonas Mkude

Thread ndefu upumbavu mtupu mtupu na hujui lolote, ndiyo maana ulituaminisha rufaa ya simba FIFA imekubariliwa mpaka leo kimya, wewe ndiyo hujui, kwataarifa yako Shaffih ni mwanachama wa Simba tena lialia, alishawahi kugombea ujumbe simba akapigwa chini, na yeye ndiyo ndiyo alipiga kelele sana Okwi kusajiliwa na Yanga, pia mala ya kwanza yeye ndiyo aliharibu mpango ya Maximo kuja Yanga, mpaka Manji alipoingilia kati.
 

Imekubariliwa ndiyo Kiswahili cha wapi? Pumbafu. Kiswahili chenyewe tu hujui utaweza kushindana na Mtoto wa Mjini GENTAMYCINE? Mbona nyie Yanga na Manji wenu mlitukaririsha tokea mwaka 2014 kuwa mtajenga Uwanja wa Kisasa na mkubwa kabisa hapo Kaunda Jangwani? Je hiyo ahadi imeshakamilika na huu Uwanja mliotuambia mtaujenga hata msingi wake tu umeshaanza?

Bahati nzuri umekutana na Town Boy ' halisi ' hivyo nitakupa tu madongo ya Kimjini mjini hadi akili ikukae sawa.
 
Nimecheka kwa nguvu kwa upuuzi huu, eti mtoto wa mjini?? Waulize manispaa kwanini wamegoma kutoa kibali cha kuongeza eneo ili ujenzi ufanyike? Huko Bunju uwanja milisema ndani ya siku 100 unakamilika leo siku 900 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu mnasajiri wazee waliocheza na wazee waliostaafu na kina Sajigwa, Mapunda na mussa Mgosi halafu mnaita ingizo jipya na sahihi. Shame
 
Pamoja na GENTAMYCINE kukupa darasa tosha bado huelewi..! Halafu kwanini unapuyanga tu husimamii jambo moja? Mara mechi Afrika Kusini, na sasa Uwanja na Usajili

Yamkini Nicolas Musonye hakukosea kusema vile
 
Pamoja na GENTAMYCINE kukupa darasa tosha bado huelewi..! Halafu kwanini unapuyanga tu husimamii jambo moja? Mara mechi Afrika Kusini, na sasa Uwanja na Usajili

Yamkini Nicolas Musonye hakukosea kusema vile
Unapenda kudandia kila kitu? Basi uwe unasoma kwanza, alieanza mambo ya uwanja ni ni nani? Endelea na issue zako.
 

Hujajibu swali je hilo neno lako la limekubariliwa ni Kiswahili chetu hiki hiki au?
 
Nafikiri matatizo ya Mkude yalianzia msimu uliopita. Mashabiki wengi hawakumbuki kuwa ni zaidi ya mara mbili mkude alileta mgomo baridi wakati ligi inaendelea.
 
Boko hata mchango wake kwenye timu haujaonekana. Lini kocha alipima nidhamu ya Boko kiasi cha kumpatia unahodha?
 
Boko hata mchango wake kwenye timu haujaonekana. Lini kocha alipima nidhamu ya Boko kiasi cha kumpatia unahodha?
Hivi hujui kuwa Omog alifundisha Boko akiwa Azam FC?

Hivi hujui kuwa Klabu ya Azam FC, Boko ndiye alikuwa Nahodha?

Sasa nidhamu gani unayotaka ilhali aliweza kuwa nahodha kwa muda mrefu. Au ukiwa nahodha Chelsea halafu ukahama kwenda Man United haiwezekani kuwa nahodha?
 
Haiwezekani!! Kila klabu ina senior players. Boko ni mpya hapo klabuni
 
Haha haaaaaaaa.....eti mtoto mjini, huo utoto wa mjini unakusaidia nini kwny maisha ya kila Sikh??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…