balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread ndefu upumbavu mtupu mtupu na hujui lolote, ndiyo maana ulituaminisha rufaa ya simba FIFA imekubariliwa mpaka leo kimya, wewe ndiyo hujui, kwataarifa yako Shaffih ni mwanachama wa Simba tena lialia, alishawahi kugombea ujumbe simba akapigwa chini, na yeye ndiyo ndiyo alipiga kelele sana Okwi kusajiliwa na Yanga, pia mala ya kwanza yeye ndiyo aliharibu mpango ya Maximo kuja Yanga, mpaka Manji alipoingilia kati.Hopeless mkubwa! Nani aliyekuambia kuwa Shaffih Dauda ni ' Mshabiki ' wa Simba SC? Ngoja niendelee ' kukudharau ' tu. Wakati Wewe ukisema kuwa hao Watangazaji wako uliowataja hapo wana ' access ' na Wachezaji Mimi pia moja kwa moja nina ' access ' na Wachezaji Watatu tena ' Waandamizi ' kabisa wa Simba SC ila kwa kutowasababishia ' matatizo ' na Uongozi wa Klabu sitowataja hapa.
Na nimalizie tu kwa kukuhakikishia na kukuthibitishia tena kwa ' Kujigamba ' kabisa kuwa Simba SC haijacheza mechi yoyote na haijafungwa goli Saba ( 7 ) huko ' Bondeni ' ila wanajiandaa sasa kwa mechi zao mbili za Kirafiki na Orlando Pirates na Bidvest hivyo kama mnangoje muone ' tukifungwa ' hizo goli zenu ' wiki ' basi suburini tufungwe na hizi Timu mbili. Hivi hiyo mechi aliyekuwa anajua tumecheza ni Mkude tu peke yake? Hivi hao Wachezaji wengine wa Simba SC hawana ' access ' na Watu wao huku Tanzania? Hivi Simba SC icheze mechi halafu hiyo mechi ama isifuatiliwe na Watazamaji au na Waandishi wa Habari mbalimbali wa huko Afrika ya Kusini?
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu hakunibariki na ' Upumbavu ' ulionao Wewe na wenzako wote mnaong'ang'ania kuwa Simba SC ilifungwa goli Saba ( 7 ) halafu hamna hata ' ushahidi ' wowote ule wa kuyathibitisha hayo muyasemayo. Nilichokigundua tu ni kwamba yawezekana wana Yanga FC ' wanaziota ' mapema goli Saba ( 7 ) ambazo huenda ' wakafungwa ' na Simba SC ( Mnyama ) hapo tarehe 23, August 2017 ndani ya Uwanja wa Taifa hivyo siwalaumu sana.
Thread ndefu upumbavu mtupu mtupu na hujui lolote, ndiyo maana ulituaminisha rufaa ya simba FIFA imekubariliwa mpaka leo kimya, wewe ndiyo hujui, kwataarifa yako Shaffih ni mwanachama wa Simba tena lialia, alishawahi kugombea ujumbe simba akapigwa chini, na yeye ndiyo ndiyo alipiga kelele sana Okwi kusajiliwa na Yanga, pia mala ya kwanza yeye ndiyo aliharibu mpango ya Maximo kuja Yanga, mpaka Manji alipoingilia kati.
Pole mkuu naona nimekukera,maana povu hili si la nchi hiiMkuu.. Kama huna cha maana cha kuchangia kaa kimya kuliko kujaza server za JamiiForums kwa picha nyingi mfululizo kwa kujiona mjanja ilhali ni 'upumbavu' unaoleta hapa
Mambo hayo peleka bwawani pale
Nimecheka kwa nguvu kwa upuuzi huu, eti mtoto wa mjini?? Waulize manispaa kwanini wamegoma kutoa kibali cha kuongeza eneo ili ujenzi ufanyike? Huko Bunju uwanja milisema ndani ya siku 100 unakamilika leo siku 900 [emoji23] [emoji23] [emoji23]Imekubariliwa ndiyo Kiswahili cha wapi? Pumbafu. Kiswahili chenyewe tu hujui utaweza kushindana na Mtoto wa Mjini GENTAMYCINE? Mbona nyie Yanga na Manji wenu mlitukaririsha tokea mwaka 2014 kuwa mtajenga Uwanja wa Kisasa na mkubwa kabisa hapo Kaunda Jangwani? Je hiyo ahadi imeshakamilika na huu Uwanja mliotuambia mtaujenga hata msingi wake tu umeshaanza?
Bahati nzuri umekutana na Town Boy ' halisi ' hivyo nitakupa tu madongo ya Kimjini mjini hadi akili ikukae sawa.
Ona sasa unathibitisha kukerwa,pole sana mkuu maalumNimekusaidia namna ya kuwasilisha mchango wako. endapo unahisi kuwa ni povu labda aje Gongowazi wenzako akueleze
Pamoja na GENTAMYCINE kukupa darasa tosha bado huelewi..! Halafu kwanini unapuyanga tu husimamii jambo moja? Mara mechi Afrika Kusini, na sasa Uwanja na UsajiliNimecheka kwa nguvu kwa upuuzi huu, eti mtoto wa mjini?? Waulize manispaa kwanini wamegoma kutoa kibali cha kuongeza eneo ili ujenzi ufanyike? Huko Bunju uwanja milisema ndani ya siku 100 unakamilika leo siku 900 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu mnasajiri wazee waliocheza na wazee waliostaafu na kina Sajigwa, Mapunda na mussa Mgosi halafu mnaita ingizo jipya na sahihi. Shame
Unapenda kudandia kila kitu? Basi uwe unasoma kwanza, alieanza mambo ya uwanja ni ni nani? Endelea na issue zako.Pamoja na GENTAMYCINE kukupa darasa tosha bado huelewi..! Halafu kwanini unapuyanga tu husimamii jambo moja? Mara mechi Afrika Kusini, na sasa Uwanja na Usajili
Yamkini Nicolas Musonye hakukosea kusema vile
Nimecheka kwa nguvu kwa upuuzi huu, eti mtoto wa mjini?? Waulize manispaa kwanini wamegoma kutoa kibali cha kuongeza eneo ili ujenzi ufanyike? Huko Bunju uwanja milisema ndani ya siku 100 unakamilika leo siku 900 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu mnasajiri wazee waliocheza na wazee waliostaafu na kina Sajigwa, Mapunda na mussa Mgosi halafu mnaita ingizo jipya na sahihi. Shame
Mtoto wa mjini , kinondoni kwa Ally Nappy njoo 4 ways tuongelee mpiraHujajibu swali je hilo neno lako la limekubariliwa ni Kiswahili chetu hiki hiki au?
Hivi hujui kuwa Omog alifundisha Boko akiwa Azam FC?Boko hata mchango wake kwenye timu haujaonekana. Lini kocha alipima nidhamu ya Boko kiasi cha kumpatia unahodha?
Haiwezekani!! Kila klabu ina senior players. Boko ni mpya hapo klabuniHivi hujui kuwa Omog alifundisha Boko akiwa Azam FC?
Hivi hujui kuwa Klabu ya Azam FC, Boko ndiye alikuwa Nahodha?
Sasa nidhamu gani unayotaka ilhali aliweza kuwa nahodha kwa muda mrefu. Au ukiwa nahodha Chelsea halafu ukahama kwenda Man United haiwezekani kuwa nahodha?
Haha haaaaaaaa.....eti mtoto mjini, huo utoto wa mjini unakusaidia nini kwny maisha ya kila Sikh??Imekubariliwa ndiyo Kiswahili cha wapi? Pumbafu. Kiswahili chenyewe tu hujui utaweza kushindana na Mtoto wa Mjini GENTAMYCINE? Mbona nyie Yanga na Manji wenu mlitukaririsha tokea mwaka 2014 kuwa mtajenga Uwanja wa Kisasa na mkubwa kabisa hapo Kaunda Jangwani? Je hiyo ahadi imeshakamilika na huu Uwanja mliotuambia mtaujenga hata msingi wake tu umeshaanza?
Bahati nzuri umekutana na Town Boy ' halisi ' hivyo nitakupa tu madongo ya Kimjini mjini hadi akili ikukae sawa.