Mmh kirahisi hivyo?Bi Chau kafukuzwa Simba
Bongo watu wanapenda taarifa mbaya sana.Watu walisimamisha masikio kuona kunatokea nini, lakini ghafla taarifa imeyeyuka..!
Amesema kila kitu kipo sawa, na hakuna tatizo kwa maana anaendelea kupiga kazi pale Msimbazi.Bongo watu wanapenda taarifa mbaya sana.
Siamini huyo dada kufukuzwa kizembe hivyo
kwanini wasinge confirm kwanza ndio watoe hio taarifa hii ni kuwapa watu loophole ya kusambaza maneno ya uongoKlabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam, imeahirisha taarifa ambayo iliyokuwa itoke saa 2: 30 usiku kuhusu Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo.
"Taarifa ya Mtendaji Mkuu iliyokuwa itoke saa 2: 30 usiku imeshindikana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu".
"Pole na samahani kwa usumbufu" Simba SC
Kuna mivujo ya ndani kwa ndani...taarifa zinatoka humo humo.kwanini wasinge confirm kwanza ndio watoe hio taarifa hii ni kuwapa watu loophole ya kusambaza maneno ya uongo
Endelea kuhisi kuwa ni rahisi kihivyo, Simba SC anakuja kwa namna ya hatari mno msimu ujao..Haya ambayo unayodhani ni tatizo wala si tatizo na ni kawaida sana kwenye Taasisi kubwa kama Simba SC.Dalili ya mvua ni mawingu. Msimu ujao Yanga atakuwa bingwa kwa mara nyingine tena.
klabu mashuhuli brail na amerika ya kusini the Flamengo inamilikiwa na mwanamke. kaiskuka klabu vizuri sana mpaka leo inatisha duniani. leo iweje simba mashabiiki wamuondoe mama gonzalel kwa kumsukia majungu tuu. hii ndo inayoirudisha SSC nyuma kuona mwanamke hawezi kuisuka timu. achaneni na majungu mama barbara huyo yupo Gado!Watu walisimamisha masikio kuona kunatokea nini, lakini ghafla taarifa imeyeyuka..!
CEO Barbra yupo sana Msimbazi Yaani.
Hao wanaomtaka BM watumie akili,mchezaji ana shida juu mpaka chini unamtakajeCEO hamtaki Morisson, Try again na kikundi chake wanataka Morrison abaki umbumbumbu ni.
CEO ana amua ajiuzuru kwakua ana amin baadhi ya viongozi wajuu wanatofautiana mtazamo, MO anaingilia kati, CEO anafuta mpango wake wa kujiuzulu.
Muvi lipo patamu tunasubiri episode iendelee.
Huyo atafukuzwa vipi wakati ni mtumishi wa mo labda kama mnataka na mo aondokeBongo watu wanapenda taarifa mbaya sana.
Siamini huyo dada kufukuzwa kizembe hivyo
kumiliki ni kitu kimoja na kuongoza ni kitu kingineklabu mashuhuli brail na amerika ya kusini the Flamengo inamilikiwa na mwanamke. kaiskuka klabu vizuri sana mpaka leo inatisha duniani. leo iweje simba mashabiiki wamuondoe mama gonzalel kwa kumsukia majungu tuu. hii ndo inayoirudisha SSC nyuma kuona mwanamke hawezi kuisuka timu. achaneni na majungu mama barbara huyo yupo Gado!