Klabu ya Simba yaahirisha taarifa iliyokuwa itoke saa 2:30 kuhusu Mtendaji Mkuu

Hao wanaomtaka BM watumie akili,mchezaji ana shida juu mpaka chini unamtakaje
Viongozi wa Simba na Yanga hii la kutaka kujiona wanaweza sijui mpaka lini, tumesema sana humo kuhusu mchezaji Bernard Morrison kuhusu nidhamu mbovu, lakini bado tu baadhi ya viongozi hawataki kusikia.

Mchezaji mtukutu, hawezi kutulia, hawezi kucheza michezo mitano mfululizo bila kuwa na shida, wa kazi gani..!
 
Yanga kaingiaje hapo na wewe si mjadili mambo yenu bila mhemko

Yanga kahusikaje tena hapa jadilini mambo yenu bila mhemko
 
Inamaana umeshindwa kujua kwamba swala Morrison linahusisha entinty tatu, ambazo ni Simba Sc Yanga na Morrjson mwenyewe?

Yani yanga kutajwa hapo inakuwaje mihemko, au hii mada nayo imekuwa kubwa kuliko uelewa wako..?
 
Issue ya Morrison kuwa huenda amepewa mkono wa kwaheri na Simba kwa sababu ya nidhamu mbovu.

Kisha Yanga nao kutaka arudi, mpaka akina Bumbuli kulalamika kutopewa barua huoni kuwa limeamsha baadhi ya viongozi wa Simba kutaka kumbakisha..!?

Huyu kama asingetakiwa na Yanga yasingetokea haya.
 
Endelea kuhisi kuwa ni rahisi kihivyo, Simba SC anakuja kwa namna ya hatari mno msimu ujao..Haya ambayo unayodhani ni tatizo wala si tatizo na ni kawaida sana kwenye Taasisi kubwa kama Simba SC.
Zitapigwa tik tak za hatari mpaka fifa msimu ujao
 
Attachments

  • 20220521_002908.jpg
    20220521_002908.jpg
    136.2 KB · Views: 3
Inamaana umeshindwa kujua kwamba swala Morrison linahusisha entinty tatu, ambazo ni Simba Sc Yanga na Morrjson mwenyewe?

Yani yanga kutajwa hapo inakuwaje mihemko, au hii mada nayo imekuwa kubwa kuliko uelewa wako..?
Wewe ndio poyoyo kabisa heading ihusu Barbra unakuja na mambo ya Morrison
 
Nakazia, huyu Babra natamani akae pale simba miaka zaidi ya kumi ili uswahili na 10% ziishe pale simba tunyooke.Takataka zote zinazopiga kelele zimebanwa vilivyo zinakuja kupumulia huku kwa mashabiki tuzionee huruma.Babra kazaaaa hizo umbwa zipate akili
Barbra amekuja kuondoa tabia za kiswahili pale Simba SC, ndio maana anapigwa vita mpaka na wazee waliowahi kuitumikia Simba SC zamani.

Niko upande wa Barbra, huyu ndie mtu sahihi wa kuondoa mentality za kiswahili zilizojaa kwa wale wajumbe wengi wa bodi.

Hata kama wakimchukia na majungu mwngine kama anatembea na Mo asikate tamaa, Simba iko sehemu salama sana chini ya uongozi wake.

Kama issue ni kuhusu Morisson, hao aanomtaka abaki ndio waswahili wenyewe, wao wanawaza kuwakomoa utopolo tu, hawaangalii tabia mbaya ya Morisson inayoweza kuharibu tabia za wachezaji wengine hasa vijana, Moeisson aondoke.
 
Mchezaji kama hana nidhamu hata kama ana kipaji cha wapi Hafai hilo ni bomu litalipuka muda wowote,sema ni kwa sababu tunaongozwa na viongozi wasio na weledi
Issue ya Morrison kuwa huenda amepewa mkono wa kwaheri na Simba kwa sababu ya nidhamu mbovu.

Kisha Yanga nao kutaka arudi, mpaka akina Bumbuli kulalamika kutopewa barua huoni kuwa limeamsha baadhi ya viongozi wa Simba kutaka kumbakisha..!?

Huyu kama asingetakiwa na Yanga yasingetokea haya.
 
Barbra aondolewe tu maana hana ajualo, kazi ziombwe upya. Mtu aje na malengo yake
 
Amesema kila kitu kipo sawa, na hakuna tatizo kwa maana anaendelea kupiga kazi pale Msimbazi.

Kuna vitu anavileta CEO Barbra vigeni kwao ambapo watu hawajazoea, ndo maana mambo yanakuwa hivyo..!
Yapi mafanikio aliyoleta kwenye club kwenye msimu uliopita kama mtendaji mkuu wa club?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom