Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #21
Viongozi wa Simba na Yanga hii la kutaka kujiona wanaweza sijui mpaka lini, tumesema sana humo kuhusu mchezaji Bernard Morrison kuhusu nidhamu mbovu, lakini bado tu baadhi ya viongozi hawataki kusikia.Hao wanaomtaka BM watumie akili,mchezaji ana shida juu mpaka chini unamtakaje
Mchezaji mtukutu, hawezi kutulia, hawezi kucheza michezo mitano mfululizo bila kuwa na shida, wa kazi gani..!