Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa. Walipowauza Samata na Okwi kilichofuata ilikuwa ni ukame wa makombe. Kuuzwa kwa Chama na Miquesson ni kama tu historia inajirudia. Tumejipiga risasi wenyewe miguuni. Mkikomaa mwaka huu mnaweza kuchukua. But, you gotta work hard.Tangu lini Simba ikawa mabigwa wa Ligi ya NBC? Wale walikuwa mabigwa wa VPL bana hii NBC Yanga ndo wanaanza kuchukua. Bisha
Kuzidi ile mishikamoo jazz yenu mliyochukua kwa mafungu toka AS Vita?Timu imejaza wazee, mtafukuza makocha kila siku
Eti akampasia makusudi.Goal la pili ni mjinga tu ataniambia kwamba wawa na manula hawakufanya makusudi. picha linaanza dakika za mwanzo tu manula akampasia mtswana makusudi, wametukosea sana hawa vijana.
manula?? why? kwa wawa yule ni pensioner anakusanya za mwishomwisho an atauza sana
Manula bado anauchungu kwa bwanawake manara kutimuliwa, unakumbuka alipost picha analia, boko hana kiwango cha kuendelea kuwa simbaGoal la pili ni mjinga tu ataniambia kwamba wawa na manula hawakufanya makusudi. picha linaanza dakika za mwanzo tu manula akampasia mtswana makusudi, wametukosea sana hawa vijana.
manula?? why? kwa wawa yule ni pensioner anakusanya za mwishomwisho an atauza sana