Klabu ya Simba Yafumua Benchi la Ufundi na kufungia baadhi ya Wachezaji

Tangu lini Simba ikawa mabigwa wa Ligi ya NBC? Wale walikuwa mabigwa wa VPL bana hii NBC Yanga ndo wanaanza kuchukua. Bisha
Kweli kabisa. Walipowauza Samata na Okwi kilichofuata ilikuwa ni ukame wa makombe. Kuuzwa kwa Chama na Miquesson ni kama tu historia inajirudia. Tumejipiga risasi wenyewe miguuni. Mkikomaa mwaka huu mnaweza kuchukua. But, you gotta work hard.
 
Hakuna aliyehongwa, madhaifu ya wachezaji wetu yanajulikana muda mrefu ila uongozi na kocha walikuwa wanayafumbia macho.
Sasa hivi viongozi wanatafuta vijisababu vya kuwaridhisha wapenzi wa timu.
Narudia Tena no ni mswahili Simba haiwezi kwenda juu kwa uendeshaji wa timu wa kiswahilihili Kama huo.
 
Benchi la ufundi hawana kosa, hivi inawezekanaje ununue wachezaji unaowataka wewe mwenye team alafu mimi kocha nikishindwa kuwatumia unilaumu

Hapa Mo either anashauriwa vibaya au hana uwezo wa kuiendesha kampuni kwa mafanikio

Tusitafute mchawi kwenye lindi la makosa yetu

Takua wa mwisho kumlaumu Da losa.
 
Eti akampasia makusudi.
 
Manula bado anauchungu kwa bwanawake manara kutimuliwa, unakumbuka alipost picha analia, boko hana kiwango cha kuendelea kuwa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…