Klabu ya Simba yamfungia Kessy


Acha hadithi wewe. Mtu anayenyanyasika anapangwa kwenye mechi kubwa inayohitaji kupata matokeo?
Je hakucheza rafu mbaya? Alipopopigwa alishtaki kwa uongozi wakampuuza? Tunaharibu wachezaji wetu kwa kuwaunga mkono katika vitu vya kipuuzi, baadae huyu anweza kuja kuli-cost taifa zima maana ni mchezaji wa Taifa Stars siku si nyingi.

Hata hivyo bado naamini kuwa Kessy amefanya makosa ya kimchezo tu si kutumiwa na yeyote. Maboko yote aliyofanya ni ya kibinadamu kabisa, ila nidhamu yake ni mbaya sana, mbishi, mkorofi, hasira njenje na zaidi anapenda sana kuongea kwa kutumia mdomo wakati kazi yake ilikuwa ni kuongea kwa kutumia miguu!!

Kwa kutokuwa kwake makini, naona viongozi wa Simba wanamtumia kama kituliza kelele cha mashabiki kwa kumuangushia zigo hasa ukizingatia historia yake.. Atulie acheze mpira, kama sio Simba, basi popote. Mungu amempa kipaji kikubwa sana
 
KESSY KUONDOKA SIMBA SIO WA KWANZA WALA HATAKUWA WA MWISHO. NI LAZIMA TUJUE KUWA ILIKUWA LAZIMA AONDOKE KWA SABABU ILE IMANI KATI YA MWAJIRI NA MWAJIRIWA ILISHAPOTEA KWA HIYO SULUHUSIHSO NI AIDHA KESSY KUONDOKA AU SIMBA IMFUKUZE. LAKINI KWA JINSI KESSY ANAVYOJIELEZA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NIKIUNGANISHA NA PASI ALIYOMPA NGOMA PAMOJA NA RAFU ALIYOMCHEZEA EDWARD CHRISTOPHER INAHITAJIKA KUFANYA UTAFITI ILI KUPATA UKWELI. NI WAJIBU KWA VIONGOZI WA VILABU NCHINI KABLA YA KUSAJILI WACHEZAJI WAWE WANAFUATILIA TABIA/NIDHAMU ZAO NDANI NA NJE YA UWANJA.
 
Mikia Nibiru inawahusu Mwaka huu.
 
Mawakili wanaomtetea Kessy wako wengi sn sijui kwa nn...
Hawaoni huyu mchezaji anavyoigharimu timu ktk mechi muhimu???
Kwa jicho la mbali utaona huyu bwana bado hajitambui...hajajua thamani ya jezi ya Simba Sports labda...ni kama analeta makuzi kwenye nyoyo za wapenzi wa Simba...kumpasia Ngoma na kadi nyekundu ktk mechi na Toto ni mifano iliyo wazi...Hizo mechi zimewatia simanzi wapenzi wangapi wa Msimbazi?Unapowaudhi na kuwasononesha mashabiki mara kwa mara nani atakuwa na shauku ya kuja uwanjani?Mtu alipe pesa yake kuja kuangalia maudhi??

Ni kweli yeye ana kipaji cha kucheza mpira lkn wapenzi wa Simba Sports ANATUZINGUA.

Ni kweli vile vile mpira ni mchezo wa makosa basi tumpe ruhusa tu hayo makosa yake akayafanyie timu nyingine...tuone kama watamstahmilia.
Kama ataenda Jangwani poa tu...ya Amir Maftah bado tunayakumbuka.
 
Ile rafu alicheza ya kiwendawazimu kabisa. Hamna professional footballer anayecheza rafu ile, it was a 'very unprofessional silly challenge'.
 
tatizo la simba sio wachezaji, ni hao wanaojiita viongozi.
 
Wakati huku mkilia lia na mambo ya KESSY RAMADHAN sisi huku tunafikiria namna tutakavyoweza kupambana Sagrada Esperanca ya Angola kutafuta nafasi ya robo fainali ya Shirikisho.
 
wachezaji wanajifunga wenyewe lakini hawafukuzwi, wanapata kadi nyekundu lakini hawafukuzi, wanatoa boko lakini hawafukuzwi ila kwa simba....
 

Jerry Muro kawakamata Simba vizuri sana. Huyu jamaa lazima Yanga itambue thamani yake hasa kwenye issue za Yanga na Simba. Kila akiweka mtego wanaingia wazima wazima.
 
Ile rafu alicheza ya kiwendawazimu kabisa. Hamna professional footballer anayecheza rafu ile, it was a 'very unprofessional silly challenge'.
Hivi FFF ilimfungia mechi ngapi zidane kwa kumpiga kichwa materazzi tena kwenye fainali ya kombe LA dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…