akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Aliyemchapa mwenzake konde hajaguswa????? only in Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani si ilsemwa ile haikuwa faulo hata chembe ila refa tu alitumwa? Ina maana si kweli kwamba refa ndiye ameifungisha Simba?Simba ni Zaidi ya yeyote na Simba itaendelea kuwepo kama ambavyo ipo watu makini washaona mambo kwa jicho la tatu hawa madogo sijui kina Kessy wanarubuniwa ukweli huyu dogo anaigharimu sana Simba,ilifaa afukuzwe mapema sana sababu ni Kirusi ndani ya Klabu.
Vipi matokeo ya Misri bado?Kwani si ilsemwa ile haikuwa faulo hata chembe ila refa tu alitumwa? Ina maana si kweli kwamba refa ndiye ameifungisha Simba?
Nasubiri yanga nao waweke historia leo huko egptyMuda si mrefu Manara atatuwekea historia ya Simba,kama uwanjani inacheza historia vile.
Channel gani inaonesha mpira wa yanga?Nasubiri yanga nao waweke historia leo huko egpty
Azam 2....uckose mkuu.Channel gani inaonesha mpira wa yanga?
Mbona ukiangalia kwenye EPG ya Azam two hakuna kitu kama icho?Azam 2....uckose mkuu.
labda tusubiri tu mkuu, maana hii ndo ile ya paukwa pakawa....ilikuwa isiwe mara ikawa!!! tuwe wapole tu japo sijui ni kwanini ila napata hisia za hii game kutokuonyeshwa kama ilivyotangazwa hapo awali....Mbona ukiangalia kwenye EPG ya Azam two hakuna kitu kama icho?
Tunae nyoka mmoja tusipomtoa tutaendelea kulia...Kaburu amekuwa tatizo miaka mingitatizo la simba ni uongozi mbovu
Kessy binafsi simulaumu ila kama ni goli kufungwa na refa kulikataa tulifunga halafu refa alikuwaa. mipango ya Simba mfano kunamoja Ajibu alikuwa anakwenda kufunga na Alisha watoka mabeki refa akafanya yakemnamlaumu kessy kwani goli lilifungwa Kabla au Baada ya rafu?
kwani strikes walifunga goli likakataliwa?
kwa nini ni simba tu ndio ina magomvi na wachezaji wake kuhusu nidhamu...kumbuka y upo Banda, isihaka,kessy,kiiza na juuko...wote mshagombana nao
hakuna haja ya excuse...tatizo la simba ni uongozi
tubadili mfumo wa timu...iwe kampuni...tuuze sharesBora timu isukwe upya
Heshima ya swala ni kujibiwa, siyo kuuliza kabla ya kujibu.Vipi matokeo ya Misri bado?