Klabu ya Simba yampa rasmi mkono wa kwaheri mlinzi Pascal Wawa

Klabu ya Simba yampa rasmi mkono wa kwaheri mlinzi Pascal Wawa

Zaidi ya kukata viuno hakuwa na kingine cha maana
 
Kwa jinsi tetesi za usajili wa Simba zilivyo mitandaoni kama ndio zitakuwa hivyo sidhani kama huyu mwamba atapona. Hasa ukizingatia mkataba wake unaisha msimu huu na yeye alishaanza kuzingua aongezewe mpunga mrefu.

Jamaa anakaba kweli kweli lakini sasa akishapta mpira badala ya kuanzisha mashambulizi anapasia adui yaani kwa kifupi kwenye kupiga pasi mkaa jamaa anaongoza pale kwenye timu ya Simba.

Kuna Mkenya anaitwa Akum katupiwa virago Kaizer na anaweza kucheza beki wa kati na kiungo mkabaji kwa vizuri tu sasa huyu Onyango inabidi awe mpole tu akae na viongozi wayasawazishe mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Onyango ni mbovu sana anakaba upepo tu hamna kitu! mbona CCM Kirumba Mayele alimpeleka puta mpaka anaanguka ovyo kama gunia la mchanga!!
 


Hongera Sana Wawa

Ni Heshma Kubwa Kuitumikia Klabu Kubwa Sana Simba
Na Sasa Unaingia Kwenye Kumbukumbu Za Africa Na Dunia
 
Kwa namna ligi ya Bongo ilivyo tamu, utashangaa anaibukia Singida Big Stars! Na akifanya hivyo, basi hii timu msimu ujao itashiriki mashindano ya Kimataifa kwa mara ya kwanza katika historia yao.
 
Azam ndio wachukue reject.
Namtakia mema huko aendako. Kuna vitu vya kipekee tutavimiss toka kwake hususan uwezo wake wa kupiga pasi za mbali na zinazofika kwa mlengwa.

Kwakuwa Azam hawana malengo ya kufika Fainali ya Caf, Nawashauri wamchukue kijana wao, atawasaidia sana kimataifa msimu uja
 
Back
Top Bottom