Klabu ya Simba yampa rasmi mkono wa kwaheri mlinzi Pascal Wawa

Zaidi ya kukata viuno hakuwa na kingine cha maana
 
Onyango ni mbovu sana anakaba upepo tu hamna kitu! mbona CCM Kirumba Mayele alimpeleka puta mpaka anaanguka ovyo kama gunia la mchanga!!
 


Hongera Sana Wawa

Ni Heshma Kubwa Kuitumikia Klabu Kubwa Sana Simba
Na Sasa Unaingia Kwenye Kumbukumbu Za Africa Na Dunia
 
Kwa namna ligi ya Bongo ilivyo tamu, utashangaa anaibukia Singida Big Stars! Na akifanya hivyo, basi hii timu msimu ujao itashiriki mashindano ya Kimataifa kwa mara ya kwanza katika historia yao.
 
Azam ndio wachukue reject.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…